Uwanja wa michezo wa Robinvale

uwanja wa michezo Afrika Kusini

Uwanja wa michezo wa Robinvale ni uwanja mdogo unaopatikana Robinvale wilaya ya Atlantis, kilomita 40 kaskazini kutoka Cape Town nchini Afrika Kusini. Mwaka 2011 uwanja huo ulikua ni uwanja wa nyumbani wa kilabu ya Jomo Powers FC, inayocheza katika Ligi ya Vodacom.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Robinvale kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.