Uwanja wa michezo wa Uhuru (Bakau)
Uwanja wa michezo wa Uhuru ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi huko Bakau, nchini Gambia. Hivi sasa hutumika zaidi kwa mechi za chama cha mpira wa miguu,ingawa unatumika pia kwa riadha,matamasha, hafla za kisiasa, maonyesho ya biashara na sherehe za kitaifa. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 40,000.[1]
Matukio mashuhuri
haririkumbukumbu ya miaka 10 ya mapinduzi ya Julai 22
haririMnamo Julai 22, mwaka 2004, wakuu wa nchi na waheshimiwa kutoka mataifa kadhaa ya Kiafrika, na waziri mkuu wa Taiwan walihudhuria gwaride kubwa la kuadhimisha miaka kumi ya kushika madaraka ya Yahya Jammeh | Rais Jammeh.[2] Jumamosi tarehe 18 Februari mwaka 2017, Sherehe za kuadhimisha miaka 52 ya Uhuru na kuapishwa kwa Mheshimiwa Adama Barrow Rais wa Jamhuri ya Gambia, zilifanyika katika Uwanja wa Uhuru Bakau, Gambia.
Ona pia
hariri- Box Bar Stadium (Banjul)
Viunga vya njee
hariri- Photo Ilihifadhiwa 18 Januari 2021 kwenye Wayback Machine. at worldstadiums.com Ilihifadhiwa 16 Machi 2006 kwenye Wayback Machine.
- Photos at fussballtempel.net
marejeo
hariri- ↑ "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-23. Iliwekwa mnamo 2013-08-27.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: archived copy as title (link) - ↑ "Office of The Gambian President: State House Online: Yahya A.J.J. Jammeh". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2008-03-15.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Uhuru (Bakau) kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |