Uwanja wa michezo wa Uhuru Oshakati
Uwanja wa michezo wa Uhuru wa Oshakati ni uwanja wa mpira wa miguu uliopo katika mkoa wa Oshakati nchini Namibia, ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Oshakati City F.C.. Inayocheza ligi kuu, uwanja huu una uwezo wa kuchukua mashabiki 8,000 na ulijengwa kwa gharama za dola za Kinamibia millioni 20, na baadae zilihitajika dola nyingi 55,000 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Uhuru Oshakati kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |