Uwanja wa michezo wa manispaa ya Ait Melloul
Uwanja wa michezo wa manispaa ya Ait Melloul ni uwanja wa michezo wa mpira wa miguu unaopatikana katika jiji la Ait Melloul nchini Moroko. Ni uwanja mkuu wa umoja wa Ait Melloul na una uwezo wa kubeba washabiki 5,000. [1]
Marejeo
hariri- ↑ "Stade Municipal d'Aït Melloul - Soccerway". fr.soccerway.com (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2018-06-08.
Viungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi ya umoja wa Ait Melloul Ilihifadhiwa 11 Juni 2021 kwenye Wayback Machine. (kwa Kiarabu na Kifaransa)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa ya Ait Melloul kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |