Uwanja wa mpira wa Sokoine

Uwanja wa Mpira wa Sokoine ni uwanja uliojengwa mwaka 1984. Uwanja huu unatumika kwa matumizi mawili, kimpira na kufanyia hafla za kitaifa au mikutano. Uwanja huu unapatikana kata ya Sisimba mkoani Mbeya nchini Tanzania . Unamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) [1].

Uwanja huu unatumika kama uwanja wa nyumbani na timu mbili ambazo ni Prison FC na Mbeya F.C

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-28. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.