Uwe Boll (amezaliwa tar. 22 Juni 1965 mjini Wermelskirchen/Remscheid) ni mwongozaji, mtayarishaji na mwandishi wa script za filamu wa Kijerumani. Filamu zake zilizonyingi huwa zinatoka na mwenendo wa video gemu, yaani anatoa kutokana na mwenendo wa video gemu vile ilivyo na kuitengenezea filamu. Huenda akawa anafahamika kwa kuiongoza filamu ya Bloodrayne na House of the Dead na German Fried Movie.

Uwe Boll
Uwe Boll
Uwe Boll
Jina la kuzaliwa Uwe Boll
Alizaliwa 22 Juni 1965
Ujerumani
Kazi yake Mwongozaji
Mtayarishaji

Huyu yupo tofauti sana na waongozaji wengi filamu wa Kimarekani, ambao wanapokea fedha kutoka katika mradi wa filamu wa Hollywood, yeye kama yeye anamiliki mradi wake binafsi uitwao Boll KG production company ambao unaongoza na kutayarisha filamu. Boll alipata elimu yake ya Chuo katika Chuo Kikuu cha Köln na baadaye katika Siegen (chuo kikuu pia), na akachukua digrii yake udaktari katika fasihi.

Filamu

hariri

Filamu za kawaida

hariri
  • German Fried Movie
  • Amoklauf
  • Barschel
  • Mord in Genf?
  • Erste Semester, Das
  • Sanctimony
  • Blackwoods
  • Heart of America
  • Seed

Filamu zinazotokana na video gemu

hariri
  • House of the Dead
  • Alone in the Dark
  • BloodRayne
  • BloodRayne II
  • In the Name of the King
  • Postal
  • Far Cry

Marejeo

hariri
  1. http://www.bloody-disgusting.com/feature/408
  2. http://boxofficemojo.com/movies/?id=houseofthedead.htm
  3. http://boxofficemojo.com/movies/?id=aloneinthedark.htm
  4. http://boxofficemojo.com/movies/?id=bloodrayne.htm
  5. http://www.cinemablend.com/features/Uwe-Boll-Money-For-Nothing-209.html Ilihifadhiwa 26 Juni 2006 kwenye Wayback Machine.
  6. http://www.metacritic.com/film/titles/aloneinthedark?q=alone%20in%20the%20dark Ilihifadhiwa 18 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine.

Viungo vya nje

hariri

Kigezo:Filamu za Uwe Boll

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uwe Boll kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.