Remscheid
Remscheid ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Wupper. Idadi ya wakazi wake ni takriban 111,422. Mji ulianzishwa 1173.
Remscheid | |||
| |||
Mahali pa mji wa Remscheid katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 51°11′0″N 7°12′0″E / 51.18333°N 7.20000°E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Rhine Kaskazini-Westfalia | ||
Idadi ya wakazi (2009) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 111,422 | ||
Tovuti: www.remscheid.de |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Remscheid kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |