Uwezeshaji wa Wanawake

Kuwapatia haki na uwezo wanawake kujisimamia wenyewe

Uwezeshaji wa Wanawake (au uwezeshaji wa Kike) unaweza kufafanuliwa kwa njia mbalimbali, ikihusisha kukubali mawazo ya wanawake, kufanya juhudi za kupambania na kuinua nafasi ya mwanamke kupitia elimu, ufahamu wa kijamii, kujua kusoma na kuandika, na mafunzo.[1][2][3] Uwezeshaji wa vifaa kwa Wanawake na kumruhusu mwanamke kufanya maamuzi ya kuamua maisha kupitia matatizo mbalimbali ya kijamii.[4] Wanaweza kuwa na fursa ya kufafanua jukumu la jinsia au majukumu mengine kama hayo, ambayo yanawapa uhuru wa kufikia malengo waliokusudia.[1]

Mama wa Kwanza Michelle Obama akiwasalimia wanafunzi wakati wa tukio la Chumba cha Kusoma pamoja na Bibi wa Rais Bun Rany wa Kambodia kuunga mkono mpango wa Let Girls Learn, katika Shule ya Upili ya Hun Sunni Prasat Bakong huko Siem Reap, Kambodia, Machi 21, 2015.

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 Kabeer, Naila. "Gender equality and women'empoverment: A critical analysis o the third millennium development goal 1." Gender & Development 13.1 (2005): 13–24.
  2. Mosedale, Sarah (2005-03-01). "Assessing women's empowerment: towards a conceptual framework". Journal of International Development (kwa Kiingereza). 17 (2): 243–257. doi:10.1002/jid.1212. ISSN 1099-1328.
  3. Bayeh, Endalcachew (Januari 2016). "The role of empowering women and achieving gender equality to the sustainable development of Ethiopia". Pacific Science Review B: Humanities and Social Sciences. 2 (1): 38. doi:10.1016/j.psrb.2016.09.013.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Bayeh, Endalcachew (Januari 2016). "The role of empowering women and achieving gender equality to the sustainable development of Ethiopia". Pacific Science Review B: Humanities and Social Sciences. 2 (1): 38. doi:10.1016/j.psrb.2016.09.013.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)