Vaduz (tamka: faduts) ni mji mkuu wa utemi wa Liechtenstein na makao makuu ya bunge la nchi. Iko kando la mto Rhine. Kuna wakazi 5,248. Mahali pake ni 47°8' N, 9°31' E.

Maneo ya mji wa Vaduz nchini Liechtenstein
Nembo ya Vaduz
Kitovu cha mji wa Vaduz
Boma la Vaduz ni makao ya mtemi

Wakazi walio wengi ni wakatoliki. Kuna Askofu Mkuu wa kanisa katoliki.

Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vaduz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.