Sebouh Der Abrahamian (anayejulikana kama Val Avery; Julai 14, 1924 - Desemba 12, 2009) alikuwa mwigizaji wa Marekani aliyeonekana katika mamia ya filamu na maonyesho ya televisheni.

Val Avery
Val Avery (1960).

Alifanya kazi kwa miaka takriban 50, Avery alionekana katika filamu zaidi ya 100 na alikuwa na maonyesho katika vipindi vya televisheni zaidi ya 300.

Baadhi ya filamu alizoshiriki kama muigizaji

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Val Avery kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.