Valeria Cappellotto
Valeria Cappellotto (28 Januari 1970 - 17 Septemba 2015) alikuwa mwendeshabaiskeli wa mbio wa Italia. Aliwakilisha nchi yake ya asili katika Olimpiki mbili za Majira ya joto: 1992 na 2000. Alessandra Cappellotto alikuwa dada yake.[1]
Cappellotto alifariki asubuhi ya tarehe 17 Septemba 2015 huko Marano Vicentino kutokana na ugonjwa usiotibika akiwa na umri wa miaka 45.[2]
Marejeo
hariri- ↑ https://web.archive.org/web/20200418012438/https://www.sports-reference.com/olympics/athletes/ca/valeria-cappellotto-1.html
- ↑ Vicenza Today. "Morta la ciclista vicentina Valeria Cappellotto per un male incurabile". geosnews.com.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Valeria Cappellotto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |