Valerie Barr

mwanasayansi wa kompyuta

Valerie Barr ni mwanasayansi wa kompyuta wa Marekani akiwa amejaliwa na fasi yakuwa mwenyekit iwa idara ya Sayansi na Kompyuta katika Chuo cha Mount Holyoke huko South Hadley, Massachusetts. Anajulikana kwa kazi yake na wanawake katika kompyuta

Elimu hariri

Barr alipata Shahada yake ya Sayansi katika somo la Hisabati Inayotumika kutoka Mount Holyoke mnamo mwaka 1977, Shahada yake ya Uzamili kutoka Chuo Kikuu cha New York mnamo mwaka 1979, na alipata PhD yake katika Sayansi ya Kompyuta mnamo mwaka 1996 kutoka Chuo Kikuu cha Rutgers.[1]

Merejeo hariri

  1. "Wikipedia:Citation needed", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-09-23, iliwekwa mnamo 2022-09-29