Massachusetts
Massachusetts ni jimbo (commonwealth) la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu na mji mkubwa wa jimbo ni Boston. Kwa miji mingine, angalia orodha ya miji. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 6,497,967 (2007) wanaokalia eneo la 27,336 km² ambalo ni hasa milima na jangwa. Imepakana na Vermont, New Hampshire, Rhode Island, Connecticut, na New York. Upande wa mashariki maji ya Atlantiki.
Jimbo | ||||
---|---|---|---|---|
Kauli Mbiu Ense petit placidam sub libertate quietem (Latin) Kwa upanga tunatafuta amani, lakini amani chini ya uhuru tu.(sw) |
||||
Wimbo wa taifa "All Hail to Massachusetts" |
||||
Eneo la Massachusetts katika Marekani | ||||
Nchi | Marekani | |||
Mwaka wa Kujiunga | February 6, 1788 (6th) | |||
Mji/Makao makuu | Boston | |||
Jiji kubwa | Boston | |||
Lugha Rasmi | Kiingereza | |||
Lugha Zinazozungumzwa | Kiingereza 75.00% Kihispania 9.55% Kireno 3.43% |
|||
Utaifa | Mmassachusetts | |||
Serikali | ||||
Gavana | Maura Healey (D) | |||
Naibu Gavana | Kim Driscoll (D) | |||
Ukubwa wa eneo | ||||
Jumla | 27363 km² | |||
Ardhi | 20202 km² | |||
Maji | 7032 (25.70%) | |||
Msongamano | 353.24 /km² | |||
Idadi ya Watu | ||||
Mwaka wa Makisio | ||||
Idadi ya watu (makisio) | 7,136,171 | |||
Pato la Taifa | ||||
Mwaka wa Makisio | 2024 | |||
Jumla | $776.7 billioni (ya 12) | |||
Capita | $110,567 | |||
Kiashiria cha Maendeleo ya Watu (2022) | 0.956 (1) Maendeleo ya Juu Sana |
|||
Mapato ya Kati ya Kaya (2024) | 99,900 (1) | |||
Eneo la saa | UTC−05:00 (Eastern) | |||
Tovuti | 🔗mass.gov |
Ilikuwa moja ya koloni 13 asilia za Uingereza zilizoasi dhidi ya nchi mama tangu mwaka 1776 na kuanzisha Maungano ya Madola ya Amerika.
Viungo vya Nje
haririCommonwealth of Massachusetts Official Website
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Massachusetts bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Massachusetts kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |