Van
Van (Kiarmenia: Վան, Kikurdi: Wan; kutoka Kiarmenia van - kijiji, makazi) ni mji ulipo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Van, na upo upande wa mashariki mwa pwani ya Ziwa Van.
Mji una idadi ya wakazi wapatao 284,464 (mwaka wa 2005).[1]
Marejeo
haririViungo vya Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Governorship of Van
- Municipality of Van
- Van 100th Year University
- Plan of Van city as it was before 1915
- About Van Ilihifadhiwa 8 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
- Van Haber Ilihifadhiwa 26 Januari 2020 kwenye Wayback Machine. - Van' Local Newspaper
- FallingRain Map - elevation = 1722m (railways are red dots)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Van kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |