Van Wyck Brooks
Van Wyck Brooks (16 Februari 1886 – 2 Mei 1963) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1937, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The Flowering of New England, 1815-1865.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Van Wyck Brooks kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |