Vanessa Hudgens

Muimbaji na muigizaji wa Marekani

Vanessa Anne Hudgens (alizaliwa 14 Disemba 1988) ni mwigizaji na mwimbaji wa Marekani.[1]

Hudgens huko Hollywood mnamo Julai 2019
Hudgens huko Hollywood mnamo Julai 2019

Mafanikio ya filamu yake ya kwanza yalimfanya Hudgens kupata mkataba katika rekodi lebo ya Hollywood Records ambapo alitoa albamu mbili zijulikanazo kama Vanessa Hudgens album mwaka 2006 na Identified mwaka 2008.

Marejeo

hariri
  1. [[[:Kigezo:AllMusic]] Vanessa Hudgens Biography] Allmusic
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vanessa Hudgens kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.