Vasco Ferretti
Vasco Ferretti (alizaliwa 25 Agosti 1935) ni mwandishi wa riwaya, mwanahistoria, profesa, na mwandishi wa habari kutoka Buggiano, Tuscany, Italia.
Ameandika vitabu katika aina za fasihi ya kihistoria na riwaya za mapenzi. Vitabu vyake muhimu zaidi ni Kesselring (2009), Vip & Stars (1983), Dante Alighieri e la battaglia di Montecatini (2015), na Le stragi naziste sotto la linea gotica 1944: Sant'Anna di Stazzema, Padule di Fucecchio, Marzabotto (2004).[1]
Marejeo
hariri- ↑ Ferretti, Vasco (2009). Kesselring. Milano: Ugo Mursia Editore. Iliwekwa mnamo 6 Oktoba 2016.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vasco Ferretti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |