Vedastus Mathayo Manyinyi

Vedastus Mathayo Manyinyi (amezaliwa tar. - ) ni mbunge wa jimbo la Musoma Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM. Alikuwa mbunge mara ya kwanza miaka 2005-2010 alirudi tena mwaka 2015[2] Amehitimu katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania [1]

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Vedastus Mathayo Manyinyi". 17 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017