Vichy ni mji wa Ufaransa. Baada ya kushindwa kwa Ufaransa na Ujerumani mwaka 1940 katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia ilikuwa makao makuu ya serikali ya Vichy chini ya jenerali Petain iliyotawala sehemu za nchi zisizotwaliwa bado na Ujerumani pamoja na koloni hadi 1944.

Sehemu ya mji wa Vichy
Vichy

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Ufaransa" does not exist.Mahali pa mji wa Vichy katika Ufaransa

Majiranukta: 46°07′40″N 3°25′36″E / 46.12778°N 3.42667°E / 46.12778; 3.42667
Nchi Ufaransa
Mkoa Auvergne
Wilaya Allier
Idadi ya wakazi
 - 80,194
Tovuti: www.ville-vichy.fr

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


  Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vichy kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.