Video (kutoka neno la Kilatini lenye maana ya "Ninaona") ni kifaa cha kielektroni ambacho kinaweza kunasa picha na sauti, kisha kuzionyesha na kuzisikiza tena.