Viola Cheptoo Lagat

Viola Cheptoo Lagat (alizaliwa 13 Machi 1989) ni mwanariadha wa Kenya wa mbio za kati ambaye alibobea katika mbio za mita 1500. Alishiriki Mashindano ya Dunia ya mwaka 2015, Mashindano ya Ndani ya Dunia mwaka 2016 na katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2016.

Anatoka katika familia ya wakimbiaji inayojumuisha dada Mary Chepkemboi[1] na Everlyne Lagat [2] pamoja na kaka Robert Cheseret na mshindi wa medali ya Olimpiki Bernard Lagat.[3]


Marejeo

hariri
  1. Longman, Jeré. "In a Running Family, Someone Had to Be First", The New York Times, 2008-05-19. 
  2. Pates, Kevin. "Running success runs in family for defending Grandma's women's champ", Duluth, Minnesota: Duluth News Tribune, 7 October 2022. (en) 
  3. Kissane, John A.. "5 Minutes with Violah Lagat", Runner's World, 2012-10-11. (en) 
  Makala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viola Cheptoo Lagat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.