Kiroboto

(Elekezwa kutoka Viroboto)
Kiroboto
Jike la kiroboto wa binadamu (Pulex irritans)
Jike la kiroboto wa binadamu (Pulex irritans)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
Nusufaila: Hexapoda (Wanyama wenye miguu sita)
Ngeli: Insecta (Wadudu)
Ngeli ya chini: Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
Oda ya juu: Mecopteroidea (Wadudu kama wadudu mabawa-marefu)
Oda: Siphonaptera (Wadudu bila mabawa wenye kinywa kwa umbo wa mrija)
Latreille, 1825
Ngazi za chini

Nusuoda 4:

Viroboto ni wadudu wadogo (mm 1.8-3.3) wa oda Siphonaptera. Sehemu za kinywa zimeungana katika kimrija kitumikacho kudunga ngozi na kufyonza damu.

Wadudu hao hawana mabawa, lakini wanaweza kuruka mbali sana ikilinganishwa na ukubwa wao. Kiroboto wa binadamu anaweza kuruka juu sm 18 na mbele sm 33 (sawa na m 90 ikiwa mtu wa m 1.8 angaliweza kuruka kama kiroboto).

Viroboto wanaweza kurithisha magonjwa, k.m. tauni (hurithishwa na Kiroboto wa Panya).

Spishi zinazojulikana sana

hariri
  Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiroboto kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.