Vision For Youth
Asasi Isiyokuwa ya Kiserikali
Vision For Youth (kwa kifupi V4Y) ni asasi isiyo ya kiserikali yenye makao yake mkoani Arusha, [1] asasi hii hufanya kazi katika maeneo matatu makuu ambayo ni afya,elimu ya uraia,pamoja na kuwainua vijana kiuchumi [2]. V4Y hufanya kazi kwa vijana wenye umri kuanzia miaka kumi na tano hadi thelethini na tano tu.
Tanbihi
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-31. Iliwekwa mnamo 2021-01-24.
{{cite web}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ https://www.ippmedia.com/sw/biashara/wafanyabiashara-wanawake-vijana-kunufaika
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |