Visiwa vya Desventuradas

Visiwa vya Desventuradas (yaani Visivyobahatika) viko katika bahari ya Pasifiki na ni sehemu ya Jamhuri ya Chile.

Kwa jumla vina eneo la kilometa mraba 5.36 na havina wakazi wa kudumu.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.