Vitamini A ni aina ya vitamini ambayo hupatikana kwenye baadhi ya matunda na mizizi kwa ajili ya kusaidia uwezo wa macho kuona.

Karoti ni chanzo kizuri cha vitamini A hasa ikiliwa bila kupikwa.

Mfano wa mzizi wenye vitamini A ni karoti; mfano wa mboga ni mchicha; mfano wa matunda tajiri katika vitamini A ni chungwa n.k.

Yapo madhara yanayotokana ukosefu au upungufu wa vitamini A; miongoni mwa madhara hayo ni magonjwa kama vile "ukavu macho".

Madhara ya ugonjwa huo ni kama vile:

  • 1. macho kuwasha
  • 2. macho kushindwa kuona ipasavyo hasa usiku.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vitamini A kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.