Vittoria Fontana (alizaliwa 23 Julai 2000) ni mwanariadha kutoka Italia.[1] Ameshiriki michezo ya 2020 ya olimpiki ya majira ya joto kwenye mita 100[2].

Marejeo

hariri
  1. "Vittoria FONTANA | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
  2. "Athletics FONTANA Vittoria - Tokyo 2020 Olympics". olympics.com (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-02. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.