Orodha ya vyama vya kisiasa nchini Kenya
(Elekezwa kutoka Vyama vya kisiasa nchini Kenya)
Orodha ya vyama vya kisiasa nchini Kenya inatokana na nchi hiyo kufuata mfumo wa vyama vingi.
Kenya ilikuwa na vyama vya kisiasa vilivyosajiliwa zaidi ya 160 kufikia mwezi Novemba mwaka wa 2007 lakini kufuatia kupitishwa kwa sheria maalum ya vyama vya siasa tarehe 31 Desemba 2008, idadi ya vyama vilivyoandikishwa ilipungua hadi 38 huku vyama kadhaa vikiongezewa muda wa kujilinganisha na sheria hii mpya.[1][1][2][2]
Vyama
haririVyama vilivyopewa cheti cha kusajiliwa
hariri- National Super Alliance
- Party of National Unity
- Kenya National Congress
- National Vision Party
- PNU Alliance
- Restore and Build Kenya
- New Ford–Kenya
- Forum for the Restoration of Democracy–People
- Mazingira Green Party of Kenya
- Sisi Kwa Sisi
- Nuru Party
- National Rainbow Coalition–Kenya
- Grand National Union of Kenya
- United Democratic Forum
- Mwangaza Party of Kenya
- Orange Democratic Movement
- Labour Party of Kenya
- Kenya National Congress
- Party of Action
- Party of Independent Candidates
- Democratic Party of Kenya
Vyama vinavyongoja cheti cha kusajiliwa
hariri- Forum for the Restoration of Democracy-People
- Kenya Social Congress
- Mkenya Solidarity Movement
- Kenya African National Union
- United Democratic Movement
- Safina
- Chama Cha Mwanainchi
- Party of Hope
- People's Party of Kenya
- Progressive Party of Kenya
- Kenya African Democratic Union- Asili
- Agano Party
- The Independent Party
- National Agenda Party of Kenya
- Conservative Party of Kenya
- Progressive Party of Kenya
- National Alliance of Kenya
- National Rainbow Coalition
- United Republican Party
- Forum for the Restoration of Democracy-Kenya
- Social Democratic Party of Kenya
- Maendeleo Party [3]
Vyama vya kihistoria
hariri- Kenya African Democratic Union (KADU)
- Kenya People's Union (KPU)
- Liberal Democratic Party LDP (Kenya)
Tanbihi
hariri- ↑ 1.0 1.1 Unregistered political parties handed a lifeline http://www.bdafrica.com/index.php?option=com_content&task=view&id=12116&Itemid=5822
- ↑ 2.0 2.1 30 parties meet deadline for new law http://www.nation.co.ke/News/politics/-/1064/509254/-/yi06h3z/-/index.html Ilihifadhiwa 4 Oktoba 2011 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Leaders keep supporters guessing on parties as registration deadline passes ,Daily Nation 30-04-2012