Obinna Kelvin Anyanwu (akijulikana pia kama Waconzy, alizaliwa Port Harcourt, Rivers State, kusini mwa Nigeria) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi na mfadhili mwenye mizizi ya familia huko Umuahia, mji mkuu wa jimbo la Abia, kusini mashariki mwa Nigeria.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Early life Story of Waconzy". Jango.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waconzy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.