Mfanyabiashara

ukarasa wa maana wa Wikimedia
(Elekezwa kutoka Wafanyabiashara)

Mfanyabiashara ni mtu ambaye anajihusisha na shughuli za kuuza na kununua bidhaa kwa lengo la kupata faida ili kuweza kujiinua au kupata maendeleo ya kiuchumi [1].

Mjasiriamali ni mfano mzuri wa mfanyabiashara.

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mfanyabiashara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.