Wagagai ni kilele kimojawapo cha mlima Elgon unaopatikana nchini Kenya mpakani mwa Uganda.

Una urefu wa mita 4,110 juu ya usawa wa bahari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wagagai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.