Wakayama, Wakayama
Jiji la Japani, mji mkuu wa Jimbo la Wakayama
Wakayama (和歌山市) ndiyo mji kwenye kisiwa cha Honshu nchi Japani. Ni makao makuu ya mkoa wa Wakayama. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 1 wanaoishi katika mji huu.
Wakayama | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Kansai | ||
Mkoa | Wakayama | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 1,006,898 | ||
Tovuti: www.city.wakayama.wakayama.jp |
Viungo vya nje
hariri- Wakayama City official website (Kijapani)
- Wakayama City official website Ilihifadhiwa 13 Februari 2005 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
- Wakayama City Tourist Association (Kiingereza)
- Waiker's Guide Map to Wakayama Ilihifadhiwa 18 Agosti 2013 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wakayama, Wakayama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |