Wanablogu wa Kiswahili wa Tanzania
Wanablogu wa Tanzania wa Kiswahili walianza kutumia teknolojia hii mwaka 2004. Toka mwaka huo hadi sasa blogu za Watanzania zimekuwa zikiongeza kwa kasi. Blogu za Kiswahili ndio zilikuwa blogu za kwanza na pia ndio nyingi zaidi ya blogu za lugha nyingine. Hivi sasa zipo pia blogu za kiingereza na pia blogu ya Kichagga.