Ward Cunningham

Howard G. "Ward" Cunningham (amezaliwa 26 Mei 1949) ni mgunduzi wa programu ya wiki kutoka nchi ya Marekani. Programu yake ndiyo inatumika katika miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa kamusi elezo hii.

Ward Cunningham


People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ward Cunningham kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.