26 Mei
tarehe
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 26 Mei ni siku ya 146 ya mwaka (ya 147 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 219.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1478 - Papa Klementi VII
- 1700 - Nikolaus von Zinzendorf, askofu wa Kanisa la Moravian nchini Ujerumani
- 1887 - Leonard Bacon, mshairi kutoka Marekani
- 1931 - Sven Delblanc, mwandishi kutoka Uswidi
- 1949 - Ward Cunningham, mgunduzi wa wiki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 604 - Mtakatifu Augustino wa Canterbury, mmonaki mmisionari na askofu Mkatoliki nchini Uingereza
- 1645 - Mtakatifu Maria Ana wa Yesu, bikira Mfransisko kutoka Ekwador
- 1886 - Watakatifu Andrea Kaggwa, Ponsyano Ngondwe na Dionisi Ssebuggwawo, wafiadini wa Uganda
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Filipo Neri, Papa Eleuteri, Simetri, Felichisima wa Todi, Prisko na wenzake, Desideri wa Vienne, Berengari wa Saint-Papoul, Lambati wa Vence, Mariana wa Yesu, Petro Sans, Yosefu Chang Songjib, Yohane Doan Trinh Hoan, Mathayo Nguyen Van Phuong, Andrea Kaggwa, Ponsyano Ngondwe n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 26 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |