Warren G. Harding
(Elekezwa kutoka Warren Harding)
Warren Gamaliel Harding (2 Novemba 1865 – 2 Agosti 1923) alikuwa Rais wa 29 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1921 hadi 1923. Kaimu Rais wake alikuwa Calvin Coolidge aliyemfuata kama Rais, Harding alipofariki wakati wa awamo yake.
Warren Harding | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1921 – Agosti 2, 1923 | |
Makamu wa Rais | Calvin Coolidge |
mtangulizi | Woodrow Wilson |
aliyemfuata | Calvin Coolidge |
Muda wa Utawala Machi 4, 1915 – Januari 13, 1921 | |
tarehe ya kuzaliwa | Ohio, Marekani | Novemba 2, 1865
tarehe ya kufa | 2 Agosti 1923 (umri 57) San Francisco |
chama | Republican |
mhitimu wa | Ohio Central College |
signature |
Tazamia pia
hariri}}
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Warren G. Harding kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |