Wendo Kolosoy
Mwimbaji wa Kongo, mwanamuziki na bondia
Antoine Wendo Kolosoy (alifahamika zaidi kwa jina la Papa Wendo; 25 Aprili 1925 - 28 Julai 2008) alikuwa mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Huhesabiwa kama "Baba" wa Muziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo - maarufu kama rumba, mtindo wa muziki unaopatana kabisa na rumba, beguine, waltz, tango na cha-cha.
Wendo Kolosoy | |
---|---|
The cover of his last record, Banaya Papa Wendo
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Antoine Kalosoyi (var. Nkolosoy)[1] |
Pia anajulikana kama | Papa Wendo, Wendo, Windsor, Wendo Sor, Sor, Wendo alanga nzembo, Wendo mokonzi ya nzembo[2] |
Amezaliwa | Mushie, Mai-Ndombe Province, Kongo ya Kibelgiji | Aprili 25, 1925
Asili yake | Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
Amekufa | 28 Julai 2008 (umri 83) Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
Aina ya muziki | Rumba Soukous World Music |
Kazi yake | Mwimbaji, Mpiga gitaa, Kiongozi wa Bendi |
Ala | Sauti, Gitaa |
Miaka ya kazi | 1943-1964/1993-2004 |
Diskografia
hariri- Nani akolela Wendo? (1993)
- Marie Louise (1997) -- Indigo LBLC 2561 (2001)
- Amba (1999) -- Marimbi 46801.2 (2002) -- World Village 468012 (2003)
- On The Rumba River (Soundtrack) Marabi/Harmonia Mundi 46822.2 (2007)
- Banaya Papa Wendo IglooMondo (2007)
Kompilesheni
hariri- Ngoma: The Early Years, 1948-1960 Popular African Music (1996). Includes the original recording of "Marie-Louise", 1948 (Antoine Kolosoy "Wendo" / Henri Bowane)
- The Very Best of Congolese Rumba - The Kinshasa-Abjijan Sessions (2007) Marabi Productions
- The Rough Guide to Congo Gold -- World Music Network 1200 (2008)
- Beginners Guide To Africa -- Nascente BX13 (2006)
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ ANALYSE MUSICALE "Marie Louisa" Antoine WENDO NKOLOSOY. Interview and Review: Norbert MBU MPUTU, Congo Vision (2005)
- ↑ "Wendo Kolosoy, 62 ans de carrière musicale" (4 Juni 2005)
Marejeo
hariri- Rumba on the River: A History of the Popular Music of the Two Congos (1999). Gary Stewart - ISBN 1859843689
Viungo vya nje
hariri- Wendo's Biography, Music and Videos
- On the Rumba River - A film by Jacques Sarasin
- On the Rumba River: Papa Wendo's Story Ilihifadhiwa 15 Januari 2010 kwenye Wayback Machine.. Village Voice, Julia Wallace. 3 Juni 2008.
- Wendo Kolosoy interviewed 2002 Ilihifadhiwa 5 Juni 2011 kwenye Wayback Machine.. Banning Eyre, Afropop Worldwide, 2002.
- Papa Wendo chante l’idylle du Congo Ilihifadhiwa 22 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.. Olivier Azam, Bakchich.info. 17 Mei 2008
- Musique: Wendo Kolosoy entre la vie et la mort. Okapi.net/Lp. Le Potentiel (Kinshasa) Juni 2005.
- Wendo Kalosoy «On The Rumba River». Jeannot ne Nzau Diop. Le Potentiel (Kinshasa), 2007.
- Evolution de la musique congolaise moderne de 1930 à 1950. Jeannot ne Nzau Diop. Le Potentiel (Kinshasa), 14 Mei 2005.
- Wendo Kolosoy, 62 ans de carrière musicale. Jeannot ne Nzau Diop. Le Potentiel (Kinshasa), 4 Juni 2005.
- Global Hit: Wendo Kolosoy. Radio broadcast and transcript from The World: Public Radio International//BBC Radio. 30 Julai 2008. Includes parts of the rare original 78 recording of "Marie-Louise".
- Bob W. White, Congolese Rumba and Other Cosmopolitanisms, Cahiers d'études africaines, 168, 2002.
- Wendo Kolosoy artist profile Ilihifadhiwa 13 Julai 2011 kwenye Wayback Machine., label-bleu records, (extracted and translated from Terre de la chanson, la musique congolaise hier et aujourd’hui, by Mpanda Tchebwa, Editions Duculot 1996).