Wesley James Burns (alizaliwa 23 Novemba 1994)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Wales, ambaye anacheza kama winga katika klabu ya Ipswich Town, inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza EPL, na timu ya taifa Wales.

Wes Burns mnamo 2023

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wes Burns kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.