23 Novemba
tarehe
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 23 Novemba ni siku ya 327 ya mwaka (ya 328 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 38.
Matukio
hariri- 1700 - Uchaguzi wa Papa Klementi XI
Waliozaliwa
hariri- 1804 - Franklin Pierce, Rais wa Marekani (1853-1857)
- 1837 - Johannes Diderik van der Waals, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1910
- 1860 - Karl Hjalmar Branting, mwanasiasa Mswidi na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1921
- 1922 - Joan Fuster, mwandishi wa Kikatalunya kutoka Hispania
- 1941 - Franco Nero, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 1971 - Chris Hardwick, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1814 - Elbridge Gerry, Kaimu Rais wa Marekani
- 1991 - Klaus Kinski, mwigizaji filamu kutoka Ujerumani
- 1996 - Mohamed Amin, mpiga picha kutoka Kenya
- 2012 - Larry Hagman, mwigizaji filamu kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Klementi I, Kolumbano, Felisita wa Roma, Mustiola, Sisini wa Kuziko, Lukresia wa Merida, Anfiloki wa Ikonio, Severini wa Paris, Gregori wa Agrigento, Trudo, Sesilia Yu So-sa n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 23 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |