Western Union ni kampuni ya huduma za kifedha na mawasiliano ya Marekani. Mpaka ilipoacha huduma ya telegramu mwaka 2006, kampuni hii ilikuwa ndiyo iliyojulikana zaidi kwa biashara hiyo nchini Marekani.

Nembo ya kampuni ya huduma ya kifedha nchini Marekani, Western Union

Western Union ina idara kadhaa, kama vile uhamisho wa fedha, hawala ya fedha amri, malipo ya biashara na huduma za kibiashara.

Hivi sasa ndiyo kampuni kubwa kabisa duniani kwa huduma za utumaji wa fedha.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Western Union kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.