Whitey Mitchell
Gordon "Whitey" Mitchell (22 Februari 1932 – 16 Januari 2009) alikuwa mpiga besi wa jazzi na mwandishi/mtayarishaji wa vipindi vya televisheni kutoka Marekani.
Alizaliwa mjini Hackensack, New Jersey.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Scott Yanow, [[[:Kigezo:AllMusic]] Whitey Mitchell] at Allmusic
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Whitey Mitchell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |