Wiesław Dawidowski
Wiesław Dawidowski, O.S.A. (alizaliwa 14 Machi 1964) ni padri wa Kanisa Katoliki kutoka Polandi.
Ni wa shirika la Waaugustino na amejiusisha na uandishi wa habari na uchambuzi wa masuala mbalimbali. Kuanzia mwaka 2007 hadi 2012 alikuwa mtangazaji mkuu wa televisheni ya Religia.tv. Alikuwa mwenyekiti Mkrikisto wa Baraza la Wakatoliki na Wayahudi la Poland kuanzia mwaka 2009 hadi 2013. Tangu mwaka 2012, amekuwa Mkuu wa Nchi wa Shirika la Agustino nchini Poland.[1]
Marejeo
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |