Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/Submissions/CarolineMwai

 Kigezo:CM wikipedia article on FC Barcelona edited and transalated from en to sw 

Klabu Baselona pia hujulikana kama Baselona ama Basa ni klabu mjini Baselona, Catalonia, Uhispania. Kikundi hiki kilianzishwa mwaka wa 1899 na kundi la Uswisi, uingereza na uhispania wakiongozwa na Joan Gamper. Klabu hiki kimekuwa Kikatalani taasisi, hivyo mbiu zaidi ya klabu.

Baselona ni moja ya vilabu tatu ambavyo kamwe halijatoka La Liga na kilabu kilicho na mafanikio zaidi katika vilabu vya uhispania. Mwaka 2009, Baselona ilikuwa klabu ya kwanza katika Uhispania kushinda mara tatu mfululizo kwenye michezo kuu ya kadanda huko uhispania.


Uwanja wa Baselona huwa na uwezo wa viti 98,772. Baselona hufurahia kiwango cha umaarufu; na idadi ya wahispania 25.7% huko uhispania huwasaidia. Kulingana na utafiti wa karibuni Baselona ni klabu maarufu katika Ulayani iliyona mashabikimilioni 44.2 .

Katika msimu wa 2007-08, Baselona ilisemekana kuwa klabu tajiri katika ulimwengu na mapato ya poundi milioni 308.8.Barcelona ndiyi timu inayoongoza katika la liga. Baselona ndiye klabu inayoongoza huko uhispania