Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge

Kiswahili Wikipedia Challenge:   Kiswahili  ·  English


This page is about the Kiswahili Wikipedia Challenge, a contest running through January 2010. For an English description, visit this page.


Sisi kupanga mradi, Kiswahili Wikipedia Challenge kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Tanzania na Kenya ili waelimishwe kuandika makala kwenye Wikipedia ya Kiswahili. Kumbe!


Washindi wa Muda wa Tuzo Wametangazwa

hariri

Pongezi kwa washindi wafuatao:

  • JKUAT - Limoke Oscar (Limoke oscar)
  • Strathmore University - Marko ekisa (Ivermac)
  • Chuo Kikuu cha Nairobi - Peter Kamero (Kamero)
  • IFM - Janeth Jonathan (Janeth J Jonathan)

Kumbuka, tarehe ya mwisho ya tuzo la muda lijalo ni tarehe 4 Januari! Heri na fanaka!


Mfano wa makala-orodha ya hukumu

hariri

kutoka Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/Submissions



Schools

hariri

Makala na wanafunzi wa Wikipedia.


Others

hariri

For a full list of individuals, see Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/Submissions/All.

Specific independent groups:


Sheria na miongozo

hariri

Mwenendo

hariri
  • Hakuna kudaganya. Watu ambao watakiuka sheria wataondolewa kutoka mashindano.
  • Kuacha maswali kuhusu mashindano kwenye ukurasa wa majadiliano


Kupata alama

hariri
  • Tafuta kichwa cha makala unayotaka kuandika kuhusu kabla ya kuanza. Makala yakurudiwa hayatapokea alama.
  • Iwapo zaidi ya mtu mmoja watachangia kwa kiasi kikubwa kuhusu makala, alama zitagawanyishwa baina yao.
  • Iwapo utaboresha makala ya mbegu, utatunukiwa alama sawa na kama vile umeandika makala mapya.


Kusahihishwa

hariri
  • Hapa kuna makala sampuli yenye thamani ya pointi 0.5, 1, 2, na 3 .
    • Hapa ni makala yenye thamani kubwa (karibu na makala yakuchapishwa. pointi 10?): Malaria
  • Kama washiriki wawili hawakubaliani kuhusu makala ...
  • Mahala pa kujadili maswali kuhusiana na usahihisho ...


Washiriki

hariri

Kuna aina mbili ya washiriki: watu binafsi na vyuo vikuu. Timu za vyuo vikuu zinajumulisha wanafunzi wote kutoka chuo kikuu ambao wanashiriki. Kuna orodha ya mwisho ya wanafunzi washiriki ambayo inapelekwa kwa Google off-wiki, ambayo itatumika kuhakikisha timu.