Wikipedia:Wanawikipedia

Wanawikipedia ni watu wanaoandika na kuhariri kurasa za Wikipedia ikiwa kinyuma cha wale wasomaji ambao wao kikawaida husoma tu makala za Wikipedia.

Kila mtu anaweza kuwa Mwanawikipedia—ikiwa pamoja na wewe! Hebu bonyeza kiungo cha hariri juu ya kurasa yoyote ile, au moja kati ya hizo mwanzoni kabisa mwa kila sehemu. Hebu jaribu kutembelea ukurasa wa mwongozo wa kuhariri ili upata kujifunza zaidi.

Unaweza ukavinjari au tafuta orodha kamili ya watuamiaji, au kuomba ukurasa wa bahati wa Mwawikipedia.

Demografia

Idadi ya akaunti za watumiaji inazidi kukua (kwa sasa ipo kiasi cha 70,905). Akaunti zilizonyingi sio za wale wachangiaji wa kawaida, hata hivyo. Kwa wale wasio majina, huwa nao wengi, idadi ya wachangiaji wasio jisajili pia huchangia makala. Maelezo kamili ya takwimu nzima kuhusu Wikipedia inapatika katika ukurasa wa Wikipedia:Takwimu.

Tazama pia