Wikipedia:Makala zinazolindwa
Makala zinazolindwa ni makala ambazo mkabidhi wa wikipedia aliamua kuzilinda dhidi ya uharabu.
Hali ya kulindwa inamaanisha ya kwamba makala haiwezi kubadilishwa kwa muda fulani.
Makala chache zinalindwa daima kwa sababu zimechafuliwa mara kwa mara. Makala mengine hulindwa kwa muda ikionekana ya kwamba mtumiaji fulani (kwa kawaida mtumiaji asiyejiandikisha) amezilenga kwa kusudi na kuingiza fujo.
Sababu maalum ya kulinda kurasa ni vita ya uhariri. Hapa mkabidhi anaweza kulinda makala hadi wapinzani wametulia na kuwa tayari kwa maelewano.
Kama makala imefungwa wakabidhi wanasaidia kuingiza mabadiliko baada ya kuombwa kufanya hivyo.
Kuna ngazi mbalimbali ya ulinzi. Wakabidhi wanaweza kuamua ngazi mbili:
- a)kuzuia watumiaji wapya au wale wasiojiandikisha (watumiaji waliojiandikisha tayari tangu siku kadhaa wanaweza kuhariri)
- b)kuwaruhusu wakabidhi pekee yao kufanya uhariri
Makala zinazohitaji ulinzi
- ...
Makala zinazolindwa
- Mpira wa miguu (kwa watu bila jina la mtumiaji tu)
- W/index.php