Wikipedia:Mikutano/Usimulizi wa Hadithi Kenya
Victor Grigas, Msimulizi Hadithi kutoka Shirika la Wikimedia atasafiri kuelekea Kenya mwezi wa Agosti 2012 kwa shughli ya kuhoji wachangiaji, wafadhili na watumiaji wa miradi mbalimbali ya Wikimedia juu ya ushirika/uhusiano wao na Wikimedia.
Historia
haririUsimulizi Hadithi umetummika kimsingi kukusanya maoni yenye kutia moyo ya athira ya miradi ya Wikimedia kote duniani huku ikijaribu kujibu ni kwa nini watu huchangia na kutumia miradi ya Wikimedia. Yote haya yakiwa jitihada ya kuhifadhi na kuongeza idadi ya wachangiaji, wafadhili na watumiaji.
Victor
hariri- Ujumbe wa Victor
Leo hii, umma kwa ujumla yafikiria kwamba Wikipedia huandikwa na watu waliolipwa kuandika makala ya Wikipedia. Hawatambui ya kwamba wahariri wa Wikipedia hutoa jitihada zao bila malipo na kuwa hakuna yeyote yule anayelipwa kwa kuhariri Wikipedia. Kurekebisha upotofu huu na kutia umma moyo kuwa wahahriri, Shirika la Wikimedia pamoja na Wikimedia Kenya wanakusanya hadithi za kibinafsi kutoka kwa wahariri Wakenya vipi wamekuwa na athira na Wikipedia katika maisha yao. Kwa kukusanya na kusimulia hadithi za kibinafsi, umma kwa ujumla waweza kutambua jinsi gani Wikipedia huundwa na watu wanaoandika Wikipedia hivyo basi kutokea na uwezekano wa hao wenyewe kuwa wahariri.
Kama una hadithi ya kuvutia kuhusu wewe na Wikipedia (ama kama wajuwa yeyote anayo) tafadhali wasiliana na Victor Grigas:
Victor Grigas http://en.wikipedia.org/wiki/User:Victorgrigas vgrigas@wikimedia.org
Hadithi
haririHadithi kadha yaliyosimuliwa na Victor na wasimulizi hadithi wengine juu ya Harakati ya Wikimedia:
Washiriki
haririJe, una hadithi ya kusimulia; basi tia saini hapa
Alex Wafula (majadiliano) 02:53, 1 Juni 2012 (UTC)
MwanaharakatiLonga 05:57, 1 Juni 2012 (UTC)