Wikipedia:Mwongozo (Kupanga makala mpya)

Hivyo ndivyo inavyoonekana kama makala Hivyo unavyoandika kwenye dirisha la uhariri Habari zaidi
1. Anza kwa utangulizi mfupi. Gibraltar ni eneo la ng'ambo la Uingereza... '''Gibraltar''' ni eno la ng'ambo la Uingereza...
2. Panga maandishi marefu kwa vichwa vya ndani

Historia

== Historia ==
3. Rejea kwa makala zilizopo tayari kwa njia ya viungo: Mwaka 1713 Hispania ilikubali kwa nafasi ya amani ya Utrecht kuwa rasi itakuwa chini ya mamlaka ya Uingereza. Mwaka [[1713]] [[Hispania]] ilikubali kwa nafasi ya [[amani ya Utrecht]] kuwa rasi itakuwa chini ya mamlaka ya [[Uingereza]].
4. Usinakili maandishi ya wengine, fuata Msimamo wa kutopendelea upande#Msimamo wa kutopendelea upande|Msimamo wa kutopendelea upande na taja vyanzo vya habari.