Wikipedia ya Kiarabu

Wikipedia ya Kiarabu (Kiarabu: ويكيبيديا العربيةWīkībīdyā al-ʿArabiyya au ويكيبيديا، الموسوعة الحرة Wīkībīdyā, al-Mawsūʿa al-Ḥurra) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiarabu. Ilianzishwa mnamo mwezi wa Julai 2003. Na kwa mwezi wa Februari 2009, imefikisha zaidi ya makala 90,000, kurasa 358,000, watujiaji waliojisajiri ni 150,000 na mafaili 4100. Wikipedia ya Kiarabu, ni ya 26 kwa ukubwa wa wingi wa hesabu ya makala, na ya tatu kwa habari za ndani baada ya Wikipedia ya Kiingereza na Kiebrania[1].

Wikipedia ya Kiarabu

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikipedia
Wikipedia ya Kiarabu ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiarabu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.