Wikishuffle
Wikishuffle ilikuwa podikasti ya vichekesho ya Uingereza iliyotolewa na Jack Stewart, Chris Wallace and Philip Sharman, kutegemea kitufe cha makala nasibu cha Wikipedia kwa maudhui. Tarehe 12 Septemba 2015 Wikishuffle ilitunukiwa taji la Podikasti Bora ya Vichekesho katika Tuzo za Podcasters za 2015 za Uingereza zilizoandaliwa na New Media Europe.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-22. Iliwekwa mnamo 2022-10-05.