Adrar (Kiarabu:ولاية أدرار) ni jimbo lililpo mjini kusini-mashariki mwa nchi ya Algeria. Jimbo limepewa jina baada ya mji wake mkuu kuitwa Adrar. Hili ni jimbo la pili kwa ukubwa baada, lenye eneo la kilomita za mraba zipatazo 427,368. Hadi mwaka wa 2008, jimbo lilikuwa na wakazi takriban 402,197 wanaokalia jimboni hapa.

Wilaya ya Adrar, Algeria
Jimbo la Adrar
ولاية أدرار

Ramani ya Algeria imekoozeshwa katika Jimbo la Adrar
Kodi ya Jimbo 1
Kodi ya Eneo +213 (0) 49
Ngazi ya Utawala
Wilaya 11
Manispaa 28
Liwali Mr. Messaoud Djari
Rais wa Bunge Mr. Menad Mehdi (FLN)
Takwimu za Msingi
Eneo 439,700 km² (169,769 sq mi)
Idadi ya wakazi 402,197[1] (2008)
Density 0,9/km² (2,4/sq mi)
Kwa mkoa wa Mauritania, tazama Adrar (mkoa).

Mgawanyiko wa kiutawala wa jimboni hapa

hariri

Jimbo limeganyika katika wilaya 11 na manispaa 28.

Wilaya:-

Manispaa:-

Marejeo

hariri
  1. Office National des Statistiques, Recensement General de la Population et de l’Habitat 2008 Preliminary results of the 2008 population census. Accessed on 2008-07-02.

Viungo vya Nje

hariri

  Algeria


  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Adrar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.